Nitaungana na Mbowe pamoja na Zitto”-Hashim Rungwe Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe amesema kuwa yupo tayari kuungana na upinzani pale muda utakapofika na kujiridhisha kuwa mipango inatekelezeka. Read more about Nitaungana na Mbowe pamoja na Zitto”-Hashim Rungwe