Kombe la Dunia wenyeji hofu yatanda Sherehe ya ufunguzi inabidi kuanza nusu saa kabla ya Urusi kucheza mechi ya ufunguzi dhidi ya Saudi Arabia (mishale ya saa 18:00 za jioni) Sherehe hizo zitadumu kwa muda wa nusu saa tu ili kupisha mechi. Read more about Kombe la Dunia wenyeji hofu yatanda