Rais Uhuru Kenyatta akimpongeza Meja Jenerali Fatuma Ahmed baada ya uteuzi Ikulu.
Rais Uhuru Kenyatta leo amemteua na kumtangaza Meja Jenerali Fatuma Ahmed kuwa Msaidizi wa Mkuu wa Majeshi katika kitengo cha kusimamia wafanyakazi na vifaa na uchukuzi.