Azam FC watwaa ubingwa na kuifikia rekodi ya Simba
Klabu ya soka ya Azam FC, imefanikiwa kutetea ubingwa wake wa Kombe la Kagame baada ya kuwafunga Simba mabao 2-1 kwenye mchezo wa fainali uliomalizika usiku huu kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam.