JKU wamaliza utata wa 'Fei toto' kusaini Yanga
Baada ya mchezaji Feisal Salum Abdalah maarufu 'Fei Toto' wa mabingwa wa soka visiwani Zanzibar JKU, kusaini timu mbili za Singida United na Yanga hapo jana, hatimaye JKU wameeleza kwanini nyota huyo alifanya hivyo.