Chelsea kumtengea kocha chumba cha kuvutia sigara
Uongozi wa klabu ya Chelsea italazimika kumtengea kocha wake mpya, Maurizio Sarri chumba maalumu cha kuvutia sigara ili kumwezesha kuifanya kazi yake vizuri klabuni hapo kutokana na kocha huyo kuwa mvutaji mkubwa na hawezi kufanya kazi bila vizuri bila kutumia sigara.