Tanzania na miaka 6 ya mafanikio UNBoA
Tanzania imemaliza muda wake wa miaka sita ya kuwa mjumbe wa bodi ya Ukaguzi wa Hesabu ya umoja wa Mataifa (UNBoA) na kukabidhi kijti kwa nchi ya Chile huku ikipata mafanikio mbali mbali ikiwemo kukabidhi ripoti 13 za ukaguzi wa mashirika na ofisi za umoja wa Mataifa.