Kisa cha CCM kutoikosoa serikali bungeni

Mbunge wa Kasulu Vijijini,  Augustine Vuma Holle, amesema siyo kwamba wabunge wa CCM wanaogopa kukosoa serikali ndani ya bunge kama jinsi inavyoonekana, na badala yake ni kwamba huwa wana sehemu maalumu za kukosoa na kuishauri serikali pale ambapo wanaona mambo hayaendi vyema.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS