Polisi wanusuru maisha ya watanzania
Jeshi la Polisi nchini Tanzania hususani kikosi cha Usalama barabarani limefanikiwa kunusuru maisha ya watanzania kwa kuanzisha oparesheni maalum ambayo imeweza kuokoa vifo 36 katika miezi miwili ya hivi karibuni.