CHADEMA yafungukia kukamatwa kwa Mwalimu
Baada ya Polisi mjini Mafinga mkoani Iringa jana kumkamata na baadaye kumuchia, Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA (Zanzibar), Salum Mwalimu wakati akijiandaa kushiriki kikao cha ndani cha chama hicho, uongozi wa CHADEMA unadai haujapewa sababu yoyote mpaka sasa na Jeshi la Polisi.