"Hatukuwa na malengo mwaka 2018" - Mwinyi Zahera Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa mwanzo wa msimu huu klabu yake ya Yanga haikuwa na malengo yoyote kutokana na kuwa na kikosi kidogo na kuwa na ukata. Read more about "Hatukuwa na malengo mwaka 2018" - Mwinyi Zahera