Jamaica wampokea Buju kwa furaha

Wasanii nchini Jamaica wameonesha kuwa na furaha kubwa wakimkaribisha nyumbani msanii mwenzao mkongwe kwenye muziki wa reggae nchini humo, Buju Banton, ambaye alikuwa kifungoni nchini Marekani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS