Polisi wamsaka sheikh 'aliyetekwa'

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Jonathan Shanna

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Jonathan Shanna ameeleza juu ya tukio la kupotea kwa Mkuu wa Chuo Mkuu wa chuo cha Nyakato Islamic Institute kilichopo chini ya Taasisi ya Elimu ya The Registered Trustees of Islamic, Sheikh Bashir Gora na kudai jeshi linaendelea kumtafuta.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS