TFF yapigwa marufuku na Mahakama kuu Kibao cha Mahakama kuu. Mahakama Kuu ya Tanzania leo, Desemba 13, 2018, imetoa amri ya kuzuia TFF kujaza nafasi ya mjumbe wa kamati ya utendaji ya shirikisho la soka nchini Danstan Mkundi. Read more about TFF yapigwa marufuku na Mahakama kuu