Sarri awaacha nyota 8 Europa League Maurizio Sarri Kocha wa klabu ya Chelsea, Maurizio Sarri ameamua kuwaacha wachezaji wake 8 kwa kuwapumzisha kuelekea mchezo wa Europa League dhidi ya klabu ya Vidi ya nchini Hungary. Read more about Sarri awaacha nyota 8 Europa League