Miili ya wanafunzi yaokotwa majini, Mtwara Picha ya watoto wakiogelea (aihusiani na habari) Watu wawili ambao ni wanafunzi wa shule ya Msingi Mgao Mkoa wa Mtwara wameokotwa wakiwa wamefariki Dunia pembezoni mwa mwambao wa Bahari ya Hindi. Read more about Miili ya wanafunzi yaokotwa majini, Mtwara