CHADEMA yatinga hadi ofisi ya Jaji Mkuu
Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA (BAVICHA) wakiongozwa na Mwenyekiti wao Patrick Ole Sosopi, leo Desemba 12, 2018 wamewasilisha barua katika Ofisi ya Jaji Mkuu, Ibrahim Hamis Juma jijini Dar es salaam, wakilalamikia kukiukwa kwa haki kwenye mahakama.