Mwinyi Zahera amtimua Beno Kakolanya Yanga Kushoto Beno Kakolanya na kulia ni Mwinyi Zahera. Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera amesema hawezi tena kufanya kazi na mlinda mlango Beno Kakolanya kwasababu sio mzalendo kwa timu. Read more about Mwinyi Zahera amtimua Beno Kakolanya Yanga