Yanga kufunga kambi leo na kupanda boti Wachezaji wa Yanga Klabu ya Yanga inatarajia kucheza mchezo wake wa mwisho wa hatua ya makundi ya Kombe la Mapinduzi 2019, leo Jumatano dhidi ya Jamhuri ya kisiwani Pemba. Read more about Yanga kufunga kambi leo na kupanda boti