Matokeo ya kidato nne, wanafunzi waandika 'matusi'
Wanafunzi
Baraza la Mitihani la Taifa NECTA limebainisha kufuta matokeo ya wanafunzi wawili ambao waliandika matusi kwenye mitihani yao kitaifa ya kidato cha nne ambao walifanya mtihani wao Novemba 2018.