Simba yafuzu na kuvunja mwiko wa miaka 15 Wachezaji wa Simba na Nkana wakati wa mchezo. Klabu ya soka ya Simba imefanikiwa kutinga hatua ya makundi ya klabu bingwa Afrika ikiwa ni mara ya kwanza kwa timu ya Tanzania kufika hatua hiyo tangu walipofanya hivyo Simba mwaka 2003. Read more about Simba yafuzu na kuvunja mwiko wa miaka 15