''Namshangaa sana Mungu'' - Magufuli Rais Magufuli akiongea wakati wa kupokea ndege. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amekiri kushangazwa na mambo Mungu anayoitendea Tanzania katiika kipindi hiki. Read more about ''Namshangaa sana Mungu'' - Magufuli