Afisa Habari wa TFF Cliford Ndimbo ateuliwa na CAF Cliford Mario Ndimbo Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF), limemteua Afisa Habari wa TFF kuwa Afisa Habari wa mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika kati ya Mamelodi Sundowns na ASEC Mimosas. Read more about Afisa Habari wa TFF Cliford Ndimbo ateuliwa na CAF