“Watu hawajalipwa pesa”.- Mbunge Katani Mbunge Ahmad Katani (CUF) wa jimbo la Tandahimba mkoani Mtwara, ameweka wazi juu ya kile kinachoendelea kuhusu malipo ya pesa za korosho kwa wakulima wa zao hilo. Read more about “Watu hawajalipwa pesa”.- Mbunge Katani