Zahera kiboko, atoa siri ya maamuzi ya Yanga
Ikiwa zimebaki saa chache tu kuelekea mchezo wa ligi kuu ya soka Tanzania Bara kati ya Stand United wanaowakaribisha Yanga, ambapo kocha wa vinara wa ligi Mwinyi Zahera amesema mbinu anayotumia kupanga kikosi.

