Ofisi ya Msajili Vyama vya Siasa yawajibu upinzani
Baada ya muungano wa vyama 10 vya upinzani kutoa tamko lao la pamoja kupinga maamuzi ya ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ya kusitisha vikao vya baraza la vyama vya siasa bila kujulisha, ofisi hiyo imeibuka na kujibu tuhuma hizo.