"Manara uwezo huna, waambie ukweli tu" - Ray

Ray na Manara

Muigizaji nguli wa Bongo Movies, Vicent Kigosi 'Ray' amemtaka Afisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara kuwaambia ukweli mashabiki wa timu hiyo badala ya kuwaaminisha kuwa watashinda kila mechi na hatma yake inadhalilishwa kwa vipigo vya aibu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS