Murray baada ya kufanyiwa oparesheni, picha ya kulia ni ya X-Ray ikionesha alivyounganishiwa chuma kwenye nyonga ya kushoto.
Siku ya jana Januari 28, 2019 mcheza tenisi wa Uingereza, Andy Murray alifanyiwa upasuaji wa kuunganisha mfupa mdogo ulioachia kwenye nyonga hatua ambayo inaonesha huenda akastaafu bila kucheza tena.