Samia atoa kazi maalumu wilaya ya Tarime
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amemtaka Mkuu wa Wilaya ya Tarime, aliyeapishwa na Rais Magufuli siku ya jana kuhakikisha anazifanyia kazi mila na desturi za huko Tarime haswa zile zinazowakandamiza wanawake na watoto.

