Uwoya amuanika mpenzi wake mpya Msanii wa filamu bongo anayetikisa kwa kula bata zaidi, Irene Uwoya, ameweka wazi juu ya mahusiano yake mapya aliyonayo, baada ya kuachana na aliyekuwa mumewe Dogo Janja. Read more about Uwoya amuanika mpenzi wake mpya