RC Mara ahoji zilipo Bil. 9.5, atoa siku tatu

Mkuu wa mkoa wa Mara Adam Malima ametolea ufafanuzi kilichojiri kwenye mkutano wake ambao pia umetoka na tukio la kumuweka ndani mmoja madiwani, na kusema kwamba suala lililomkasirisha zaidi ni kubainika kwa ubadhirifu wa bilioni 9.5 ambazo hazijulikani zilipo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS