Rais Karia amtaja Tundu Lissu mkutano mkuu TFF Wallace Karia (kushoto) na Tundu Lissu (kulia) Katika mkutano mkuu wa mwaka wa Shirikisho la soka nchini (TFF), Rais Wallace Karia amewaonya wale wote wanaojifanya ni kina Lissu wa mpira na kuweka wazi kuwa hatacheka nao. Read more about Rais Karia amtaja Tundu Lissu mkutano mkuu TFF