Kuna wanaume wanaugua Saratani ya Matiti
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Ocean Road nchini, Dkt Julius Mwaiselage, amesema Asilimia 99 ya wanawake wana uwezekano wa kupata Saratani ya matiti na asilimia moja ya wanaume wanauwezo wa kupata Saratani ya aina hiyo.