Buheti ataja pesa anayotembea nayo kwenye mkoba

Msanii wa filamu nchini, Esha Buheti.

Msanii wa filamu nchini, Esha Buheti, amesema kuwa ndani ya mkoba wake mara nyingi huwa anatembea na kiasi kidogo cha pesa, ambacho huwa anakitumia kwa ajili ya matumizi mbalimbali pindi anapokuwa kwenye mizunguko yake ya kila siku.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS