Vifahamu vifaa vya NIDA vilivyoibiwa
Jeshi la Polisi mkoani Arusha linaendelea na upelelezi ili kuwabaini watu waliohusika na wizi wa vifaa vya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), katika ofisi za NIDA zilizopo maeneo ya Arusha DC, wilayani Arumeru.

