Kwanini Zahera anaidai kwa nguvu Yanga?

Makao Makuu ya klabu ya Yanga

Aliyekuwa kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amejibu kuwa  anaidai Yanga fedha zake kwa nguvu kutokana na viongozi wa klabu hiyo kumuonesha dharau na kumundoa bila sababu ya msingi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS