Polisi yawaonya raia wa Msumbiji
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara, limewatahadharisha raia wa nchi jirani ya Msumbiji, wanaodhani kuwa msimu huu wa sikukuu ni fursa kwao kwa kufanya uhalifu, basi watakuwa wamekalia kuti kavu kwakuwa jeshi hilo limejipanga ipasavyo.