'Marufuku kumfukuza mtu kama hujamteua' - Mkuchika

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Mkuchika.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Mkuchika, amepiga marufuku viongozi wa Serikali kuzuia barua za watumishi kufika eneo linalohusika na kwamba hata kama inakwenda kwake ni lazima iachwe na imfikie.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS