Jengo la Ghorofa 6 laanguka Kenya

Jengo lililoanguka jijini Nairobi

Jengo la ghorofa 6 limeanguka nchini Kenya asubuhi ya leo, katika eneo la Embakasi jijini Nairobi, huku watu kadhaa wakihofiwa kukwama kwenye jengo hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS