Gari lagonga wamachinga Mwanza, mmoja afariki

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Jumanne Murilo

Mwanaume mmoja amefariki dunia na wengine kumi na moja kujeruhiwa baada ya kugongwa na gari lililoacha njia na kuwagonga wakiwa pembezoni mwa barabara ya Furahisha eneo la Mkunguni Jijini Mwanza. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS