RC ashangaa wanafunzi kukaa masaa 10 bila kula
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Joachim Wangabo amewataka wanarukwa kutumia sherehe za siku ya kuzaliwa Yesu kristo kutafakari nafasi za watoto katika familia, na kuongeza kuwa Serikali ya imejipanga kuhakikisha kuwa mwaka 2020 unakuwa ni mwaka maalum wa Mtoto katika Mkoa.