Wizara yawatuliza wanafunzi UDSM, HESLB yatoa jibu
Wizara ya Elimu imewataka wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM), kuwa watulivu na kuendelea na masomo, wakati tamko lao walilolitoa kwa Bodi ya Mikopo likiendelea kushughulikiwa, ambapo Bodi hiyo imesema kwasasa inawasiliana na uongozi wa chuo hicho ili kulijadili kwa pamoja