Taasisi zapewa mwisho wa kuwasilisha gawio Dk. Phillip Mpango Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Phillip Mpango amepokea gawio na michango zaidi ya shilingi bilioni 5 kutoka kwa taasisi, mashirika ya umma na vyuo vikuu 13 nchini. Read more about Taasisi zapewa mwisho wa kuwasilisha gawio