Ujumbe wa Rais Magufuli kuelekea Krismasi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 22 Desemba, 2019 ameungana na waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Chato Mkoani Geita kusali Dominika ya 4 ya Majilio na ametumia nafasi hiyo kuwatakia heri ya Krismasi na Mwaka Mpya Watanzania.