Zahera aishtaki Yanga FIFA, asema watamlipa mara 2
Kocha wa zamani wa Yanga Mwinyi Zahera amethibitisha kuwa ameishtaki klabu hiyo katika shirikisho la soka duniani (FIFA) na kwa mujibu wa kanuni alivyofuatilia ana uhakika kuwa watamlipa mara mbili ya pesa anazodai kutokana na usumbufu aliopata.