Waziri ataja sababu ongezeko la Deni la Taifa
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Phiilip Mpango, ameeleza sababu iliyopelekea deni la Taifa kuongezeka kwa asilimia 11.7, kutoka Shilingi Trilioni 49.08 kwa mwezi Novemba 2018, hadi kufikia Trilioni 54.84 kwa mwezi Novemba 2019.