Mchezo wa kwanza wapigwa Marekani bila mashabiki
Pambano la kwanza la ngumi tangu janga la Corona liingie nchini Marekani limepigwa usiku wa kuamkia leo Mei 10, 2020, ambapo Justin Gaethje amemchapa Tony Ferguson kwa TKO raundi ya 5 na kuibuka bingwa wa UFC interim lightweight.