Madee azungumzia mabadiliko ya mwili wa Chid Benz
Msanii nguli wa Bongo Fleva, Madee 'Seneda' ameshindwa kuficha hisia zake baada ya kuona picha ya msanii mwenzake wa kitambo, Chid Benz katika mitandao ya kijamii ikimuonesha ameongezeka tofauti na awali.