BUNDA: Baba abaka binti zake 2 na kuwapa mimba
Mama mmoja anayejulikana kwa jina la Gaudensia Michael, mkazi wa Nyamakokoto Halmashauri ya Bunda, Mkoani Mara, amesema kuwa siku ya kwanza aliyomfuma mume wake kitandani na mwanaye, aliamua kusamehe kwa kuamini kuwa kitendo hicho cha baba kuwaingilia wanaye kisingeendelea tena.

