Vitambulisho 180,000 vya NIDA kutolewa kwa siku

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema mitambo mipya ya uzalishaji wa vitambulisho vya taifa itaanza kufanya kazi hivi karibuni baada ya wataalamu kuwasili nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS